iqna

IQNA

jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kupanuka kwa jina, kumbukumbu na sifa za shahidi Qassim Suleimani kunatokana na ikhlasi ya shahidi huyo.
Habari ID: 3478124    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01

Iran kujibu uhasama wa Ulaya
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya iliyo dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusema kuwa, iwapo Ulaya inataka 'kufunga mlango wa mantiki' na kuunga mkono ugaidi, basi Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuchukua hatua nzito ya kujibu mapigo.
Habari ID: 3476443    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/21

TEHRAN (IQNA)- Operesheni maalumu na iliyotekelezwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kuzima jaribio la uharamia na wizi wa mafuta uliosimamiwa na manuwari ya kijeshi ya Marekani katika maji ya Bahari ya Oman.
Habari ID: 3474511    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu wa kulishukuru na kulipongeza utendaji kazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
Habari ID: 3472692    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/22

IRGC imerusha satalaiti iliyoandikwa aya ya Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limerusha kwa mafanikio satalaiti ya kwanza ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali.
Habari ID: 3472691    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/22

TEHRAN (IQNA) - Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.
Habari ID: 3472336    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/05

Taarifa ya IRGC
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.
Habari ID: 3472049    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/20

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Iran wamejitokeza kote nchini baada ya Sala ya Ijumaa kuandamana kwa lengo kuonyesha uungaji mkono wao kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC na kulaani Marekani.
Habari ID: 3471912    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/12

TEHRAN (IQNA)- Harakazi za mapambano ya Kiislamu Iraq ambazo zimekuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi zimelaani vikali, hatua ya uhasama ya mtawala wa Marekani Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3471910    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema miongoni wa nukta muhimu za nguvu laini za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoyaamini hata kidogo madola ya kibeberu, hasa Marekani.
Habari ID: 3470570    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19